Geuza Timu Yako Kuwa Mashine ya Mauzo Inayofunga Deals na Kuongeza Revenue
Mafunzo ya mauzo na customer experience yanayosaidia biashara na makampuni kujenga timu zinazouza zaidi, kufunga mauzo kwa ufanisi na kujenga mahusiano imara na wateja.
As Featured By
Matukio ya Mafunzo
Tazama picha kutoka kwa mafunzo yetu ya hivi karibuni na matukio ya corporate.
Kuhusu Coach Lazaro Samwel
Mtaalamu wa Mauzo, Customer Experience na Ukuaji wa Biashara
Featured & Recognition
Kwanini Biashara Nyingi Zinashindwa Kukua?
Bila msingi sahihi wa mauzo, hata bidhaa bora zaidi itashindwa sokoni. Hapa kuna changamoto kuu tunazotatua.
Hakuna Mfumo wa Mauzo
Kutegemea bahati badala ya mifumo inayoweza kutabirika ya kupata wateja kila siku.
Timu Dhaifu ya Mauzo
Wafanyakazi wasio na mbinu za kisasa za ushawishi na kufunga mauzo (closing).
Marketing Isiyoleta Mauzo
Kutumia gharama kubwa kwenye matangazo bila kuona ongezeko la wateja wa kweli.
Huduma Duni kwa Wateja
Kupoteza wateja wa zamani kwa sababu ya huduma isiyoridhisha na kukosa ufuatiliaji.
Mafunzo Yetu ya Premium
Kila program imeundwa kwa matokeo halisi si vyeti pekee, bali ongezeko la wateja, mauzo na ukuaji wa biashara.
Sales and Marketing Course
Jifunze mbinu za kuuza, kufunga mauzo, customer psychology na kujenga mfumo wa kupata wateja wa uhakika.
1 Year Mentorship Program
Program maalum ya mwaka mmoja kwa wafanyabiashara wanaotaka mwongozo wa karibu wa kukuza biashara, kuongeza mauzo na kuboresha mifumo ya biashara.
Sponsoring Ads Program
Jifunze TikTok, Instagram, Facebook na WhatsApp Ads kwa ajili ya kuongeza wateja na mauzo ya biashara yako.
Vitabu Vinavyosaidia Kukuza Mauzo na Biashara
Jifunze mbinu za mauzo, branding, customer psychology na ukuaji wa biashara kupitia ebooks za vitendo.
Brand Pesa
SalesAcademyTZ
Mwongozo wa Kuongeza Mauzo na Wateja
SalesAcademyTZ
Uza Bidhaa Zako Kwa Hadithi
SalesAcademyTZ
Nguvu ya Ofa Bora
SalesAcademyTZ
Maswali Yenye Pesa Zako
SalesAcademyTZ
Vipingamizi na Namna ya Kuvijibu
SalesAcademyTZ
Tunasaidia Biashara na Makampuni Kujenga Timu Zenye Uwezo wa Kuuza Zaidi
Kupitia SalesAcademyTZ, tunatoa mafunzo ya vitendo yanayosaidia biashara kupata, kufunga na kubakisha wateja sahihi kupitia mifumo inayoongeza mauzo na customer satisfaction.
Sales & Closing Skills
Mbinu za kisasa za kufunga mauzo kwa ufanisi na ujasiri.
Handling Customer Objections
Geuza vikwazo vya wateja kuwa fursa za kufunga mauzo.
Sales Mindset
Jenga saikolojia ya ushindi na mtazamo chanya katika mauzo.
Customer Relationship Management (CRM)
Mifumo ya kisasa ya kusimamia na kukuza mahusiano na wateja.
Customer Experience
Tengeneza safari ya mteja inayovutia na kuongeza uaminifu.
Customer Service Excellence
Huduma bora kwa wateja inayofanya biashara yako itofautiane.
Matokeo Halisi Kutoka Kwa Wateja Halisi
Mafunzo yetu yamesaidia wafanyabiashara na timu za mauzo kuboresha performance, customer experience na kuongeza mauzo.
"Tangu timu yetu ianze mafunzo ya SalesAcademyTZ, tumeweza kuongeza mauzo yetu kwa 40% ndani ya miezi sita tu. Mfumo wao wa kufunga deals ni wa kipekee."
John Masanja
CEO, Shananga Group
"Uzoefu wa mteja ndio moyo wa biashara yetu. Coach Lazaro ametupa mbinu za vitendo ambazo zimeongeza customer satisfaction score yetu kwa kiasi kikubwa."
Sarah Kavishe
Director of Customer Experience, Corporate Solutions
"Handling objections imekuwa rahisi zaidi. Timu yangu sasa ina ujasiri wa kuzungumza na wateja wakubwa na kufunga mikataba minono."
David Mollel
Sales Manager, Logistics Plus